• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 27, 2014

  CHEZAJI LA WENGER ARSENAL LILILOUA SHETANI JEKUNDU JANA...

  Chezaji la Wenger: Mshambuliaji Benik Afobe anayecheza kwa mkopo MK Dons ya Daraja la Kwanza kutoka Arsenal, akishangilia bao la nne alilofunga jana dhidi ya Manchester United mchezo wa Kombe la Ligi. United ilichapwa 4-0, mchezaji huyo akifunga mabao mawiliFinish: Arsenal loanee Benik Afoba (left) losts home under pressure from Keane for 3-0 with 20 minutes remaining in the game
  Benik Afoba (kushoto) akifunga bao la tatu pembeni ya Keane wa United
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHEZAJI LA WENGER ARSENAL LILILOUA SHETANI JEKUNDU JANA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top