• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 30, 2014

  SONG ATUA WEST HAM KWA MKOPO KUFUFUA MAKALI

  KLABU ya West Ham imetangaza kumsajili kiungo wa Barcelona, Mcameroon Alex Song kwa mkopo wa muda mrefu.
  Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 amekuwa akisotea namba kwenye kikosi cha kwanza Nou Camp tangu ahamie huko kutoka Arsenal mwaka 2012 na kurejea Ligi Kuu ya England akijiunga na Wagonga Nyundo, au The Hammers ni mwanzo mwingine mpya kwake

  Changamoto mpya: Alex Song amejiunga na West Ham kwa mkopo wa muda mrefu wa msimu kutoka Barcelona
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SONG ATUA WEST HAM KWA MKOPO KUFUFUA MAKALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top