• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 24, 2014

  MAXIMO NA PHIRI WAUNDA UDUGU 'MAPEMAAA' ZANZIBAR

  Kocha wa Yanga SC, Marcio Maximo kulia akizunguma na kocha wa Simba SC, Patrick Phiri jioni ya leo Uwanja wa Aamaan, Zanzibar. Maximo alikwenda kumsalimi Phiri jukwaani wakati ameingia na timu yake kwa ajili ya mchezo dbidi ya Shaangani jioni hii. Simba SC itamenyana na Kilimani usiku.
  Maximo walifurahia pamoja na Phiri.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAXIMO NA PHIRI WAUNDA UDUGU 'MAPEMAAA' ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top