• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 26, 2014

  ARSENAL ILE KAMILI GADO KUELEKEA 'GEMU' NA WATURUKI KESHO LIGI YA MABINGWA

  Maandalizi: Kocha Arsene Wenger akiiongoza Arsenal mazoezini leo kujiandaa na mchezo wa marudiano wa mchujo Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Beskitas Uwanja wa Emirates kesho. Kutokana na Olivier Giroud kuwa majeruhi kwa sasa, Alexis Sanchez anatarajiwa kuongoza safu ya ushambuliaji
  Sprint: Alex Oxlade-Chamberlain is put through his paces as Arsenal train ahead of the Besiktas match
  Alex Oxlade-Chamberlain akifanya mazoezi na wenzake Arsenal kuelekea mchezo na BesiktasInspiration: Arsenal will need Mesut Ozil to put in a strong performance to overcome a determined Besiktas 
  Arsenal itahitaji Mesut Ozil acheze kwa kiwango cha juu ili kuing'oa Besiktas baada ya sare ya mchezo wa kwanza ugenini 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL ILE KAMILI GADO KUELEKEA 'GEMU' NA WATURUKI KESHO LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top