• HABARI MPYA

  Thursday, August 28, 2014

  MAN CITY YAPEWA BAYERN MUNICH LIGI YA MABINGWA, LIVERPOOL NA REAL, CHELSEA NA WAKALI WENGINE WA UJERUMANI

  MABINGWA wa England, Manchester City wamepangwa kundi moja na mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich katika Ligi ya Mabingwa Ulaya pamoja na CSKA Moscow na Roma, wakati Liverpool wao wamepangwa na mabingwa watetezi, Real Madrid.
  Mabingwa mara tano Ulaya, Liverpool mbali na kupangwa na mabingwa mara 10 wa taji hilo, Real pia wapo na Basle na Ludogorets.
  Arsenal, imepangwa na Borussia Dortmund pamoja na Galatasaray na Anderlecht katika Kundi D, wakati Chelsea imepangwa na imepangwa na wakali wengine wa Ujerumani, Schalke, Sporting Lisbon na Maribor.

  KUNDI A 

  Atletico Madrid 
  Juventus 
  Olympiakos 
  Malmo 

  KUNDI B 

  Real Madrid 
  Basle 
  LIVERPOOL
  Ludogorets 

  KUNDI C 

  Benfica 
  Zenit St Petersburg 
  Bayer Leverkusen 
  Monaco 

  KUNDI D 

  ARSENAL
  Borussia Dortmund 
  Galatasaray 
  Anderlecht 

  KUNDI E 

  Bayern Munich
  MANCHESTER CITY
  CSKA Moscow 
  Roma 

  KUNDI F 

  Barcelona 
  Paris St-Germain 
  Ajax 
  Apoel Nicosia 

  KUNDI G 

  CHELSEA
  Schalke 
  Sporting Lisbon 
  Maribor 

  KUNDI H 

  Porto 
  Shakhtar Donetsk 
  Athletic Bilbao 
  Bate Borisov 
  Mkali wao: Cristiano Ronaldo akiwasili kwenye drop ya Ligi ya Mabingwa Ulaya leo mjini Monaco, Ufaransa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAPEWA BAYERN MUNICH LIGI YA MABINGWA, LIVERPOOL NA REAL, CHELSEA NA WAKALI WENGINE WA UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top