Beki mpya wa Simba SC, Shaffi Hassan akiwa mazoezini na klabu yake usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar wakai wa mapumziko ya mchezo wa kirafiki dhidi ya KMKM ya Zanzibar. Simba ilishinda 5-0. Shaffi amesajiliwa juzi Simba SC baada ya klabu hiyo kumtema beki Mkenya, Donald Mosoti kuafuatia kumsajili mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi.
0 comments:
Post a Comment