• HABARI MPYA

    Thursday, August 21, 2014

    STRAIKA LA NAPOLI LATUA QPR, MWAKA HUU ENGLAND KAZI IPO

    KLABU ya QPR imeimarisha safu yake ya ushambuliaji kwa kumsajili mshambuliaji wa Napoli, Eduardo Vargas kwa mkopo wa muda mrefu.
    Habari hizi ni njema kwa kocha Harry Redknapp ambaye alikuwa ana washambuliaji watatu tu kikosini kabla ya uhamisho huu. 
    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 mzunguko wa pili wa msimu uliopita alicheza kwa mkopo La Liga katika klabu ya Valencia, ambako alifunga mabao matano katika mechi 25.

    Dili limetiki: QPR imemsajili Eduardo Vargas kwa mkopo wa muda mrefu kutoka Napoli
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STRAIKA LA NAPOLI LATUA QPR, MWAKA HUU ENGLAND KAZI IPO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top