• HABARI MPYA

  Tuesday, August 26, 2014

  DI MARIA ASAINI MAN UNITED, VAN GAAL AMKABIDHI JEZI YEYE MWENYEWE

  HATIMAYE Angel di Maria amekuwa mchezaji wa Manchester United kwa dau la rekodi Uingereza la Pauni Milioni 59.7 usiku huu kutoka Real Madrid.
  Winga huyo wa Argentina amesaini Mkataba wa miaka mitano Old Trafford ambao utamfanya apate mshahara wa Pauni Milioni 6.5 kwa mwaka baada ya kodi. 
  Hiyo itamfanya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 awe nyuma ya Nahodha wa United, Wayne Rooney kwa kulipwa mshahara mkubwa. 
  Tumempata! Angel di Maria akikabidhiwa jezi ya Manchester United na kocha wa Louis van Gaal
  Recruit: Manchester United announced the signing of Di Maria on Tuesday night
  New motor: Di Maria poses in front of a Chevrolet car outside Aon Training Complex
  Long-term man: Di Maria signs on a five-year deal from European champions Real Madrid
  Chief coup: Executive vice-chairman Ed Woodward poses with Di Maria
  Makamu Mwenyekiti, Ed Woodward akitiliana saini Mkataba na Di Maria
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DI MARIA ASAINI MAN UNITED, VAN GAAL AMKABIDHI JEZI YEYE MWENYEWE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top