Mwanzo > Untagged ETO'O ALIVYOFUNGA JANA KIULAINI MBELE YA MABEKI WA CHELSEA ETO'O ALIVYOFUNGA JANA KIULAINI MBELE YA MABEKI WA CHELSEA Mkali mkali tu: Mshambuliaji mpya wa Everton, Samuel Eto'o akifunga kwa kichwa jana katika kipigo cha mabao 6-3 dhidi ya timu yake ya msimu uliopita, Chelsea katika Ligi Kuu ya England jana Sunday, August 31, 2014
0 comments:
Post a Comment