• HABARI MPYA

  Wednesday, August 27, 2014

  MWAKA HUU WANALO! MAN UNITED YAPIGWA 4-0 NA KITIMU CHA 'MCHANGANI' USKU HUU, GIGGS AANGUA KILIO BENCHI

  KOCHA Louis van Gaal ameendelea kuogelea katika bwawa la maji moto Manchester United, baada ya usiku huu kfungwa na Mk Dons ya Daraja la Kwanza mabao 4-0 katika michuano ya Kombe la Ligi, maarufu Capital One.
  Mabao yaliyomtia machungu Van Gaal leo yamefungwa na Will Grigg dakika ya 25 na 63 na Benik Afobe anayecheza kwa mkopo kutoka Arsenal dakika ya 70 na 83.
  Kocha Msaidizi Ryan Giggs alionekana kufuta machozi baada ya bao la tatu, akiwa kwenye benchi na bosi wake, van Gaal.
  Kikosi cha MK Dons: Martin, Baldock, McFadzean, Kay, Lewington, Alli, Potter, Carruthers/Green dk61, Reeves, Bowditch/Powell dk56 na Grigg/Afobe dk68.
  Manchester United: De Gea, M.Keane, Evans, Vermijl 5, Janko/Perrara dk46, Anderson, Kagawa/Januzaj dk20, Powell/Wilson dk57, James, Hernandez na Welbeck.
  Analia: Kocha Msaidizi Ryan Giggs akiwa ameshika kichwa akilia kwa uchungu mwishoni mwa mchezo huo, huku kocha Louis van Gaal akiwa haamini macho yake
  Unbelievable: United players stand shocked after MK Dons scored to make it 2-0, but worse was to come for Louis van Gaal's men
  Wachezaji wa United wakiwa hoi baada ya kipigo 
  Behind: United fans react angrily to going one behind as League One MK Dons celebrate in front of them at stadiummk after the first goal
  Wachezaji wa MK Dons wakishangilia bao lao la kwanza
  Easy pickings: Grigg chests the ball home for MK Dons' second goal past De Gea after Greeves' deep cross after half-time
  Grigg akimtungua kipa De Gea 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWAKA HUU WANALO! MAN UNITED YAPIGWA 4-0 NA KITIMU CHA 'MCHANGANI' USKU HUU, GIGGS AANGUA KILIO BENCHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top