• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 25, 2014

  SIMBA SC NA KILIMANI CITY USIKU WA JANA UWANJA WA AMAAN

  Kiungo wa Simba SC, Uhuru Suleiman akimiliki mpira mbele ya beki wa Kilimani City jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda mabao 2-1.
  Kiungo wa Simba SC, Shaaban Kisiga 'Malone' akipasua katikati ya wachezaji wa Kilimani City

  Amri Kiemba katikati ya mabeki wa Kilimani City jana

  Amri Kiemba akimtoka beki wa Kilimani City

  Kiungo wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akiwatoka mabeki wa Kilimani City jana

  Beki wa Simba SC, Issa Rashid 'Baba Ubaya' akigombea mpira na mchezaji wa Kilimani City

  Mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe akimtoka beki wa Kilimani City

  Kiungo wa Simba SC, Shaaban Kisiga 'Malone' akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Kilimani City

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA KILIMANI CITY USIKU WA JANA UWANJA WA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top