• HABARI MPYA

  Sunday, August 24, 2014

  MKANDA MZIMA REAL MADRID NA TANZANIA ELEVEN JANA TAIFA, ILIKUWA...

  Luis Figo wa Real Madrid akimgeuza Mecky Mexime wa Tanzania Eleven jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Real walishinda 3-1.
  Luis Figo akiwa ameruka juu kupiga kichwa mpira dhidi ya Mecky Mexime

  Sabri Ramadhan 'China' akimzungusha Enrique Velasco wa Real Madrid 

  Mfungaji wa mabao yote matatu ya Real Madrid jana, Reuben de La Red akitafuta maarifa ya kumtoka Habib Kondo

  Beki wa Real Madrid, Fernando Sanz akimzibia njia Duwa Said ili mpira utoke

  Kali Ongala akimtoka Fernando Sanz

  Jorge Lopez akiwafunga tela Yussuf Macho na Madaraka Selemani

  Nahodha wa Tanzania Eleven, Mwameja Mohamed akimtambulisha Waziri Habari Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara kwa George Masatu. Katikati ni Iddi Moshi

  Reuben de La Red akijiandaa kumlamba chenga Duwa Said

  Sabri China akimzunguka Enrique Velasco

  Enrique Velasco akiupitia mpira miguuni mwa Mecky Mexime

  Mao Mkami 'Ball Dancer' akitoka beki wa Real Madrid

  Mao Mkami akimfunga tela beki wa Real Madrid

  Mchezaji wa Real Madrid akiwaunga mabehewa wacheaji wa Tanzania Eleven

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MKANDA MZIMA REAL MADRID NA TANZANIA ELEVEN JANA TAIFA, ILIKUWA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top