• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 28, 2014

  YANGA SC NA KMKM KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Geilson Santana 'Jaja' kushoto akiwania mpira dhidi ya beki wa KMKM katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Amaan, Zanzibar usiku wa jana. Yanga SC ilishinda 2-0.
  Winga wa Yanga SC, Abdrey Coutinho kushoto akitafuta mbinu za kumtoka beki wa KMKM
  Kiungo wa Yanga SC, Hassan Dilunga akimtoka beki wa KMKM
  Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima kulia akiwatoka mabeki wa KMKM
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa KMKM
  Winga wa Yanga SC, Simon Msuva kushoto akimtoka beki wa KMKM
  Kocha wa Yanga SC, Marcio Maximo kushoto akizungumza na kiungo Nizar Khalfan kumpa maelekezo kabla ya kuingia kipindi cha pili
  Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya klabu ya Yanga SC, Mama Fatma Karume alikuwepo jana Uwanja wa Amaan kuishuhudia timu yake
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC NA KMKM KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top