• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 26, 2014

  BALOTELLI AJIFUA PEKE YAKE LIVERPOOL WENZAKE WAKIWA WAMELALA BAADA YA KICHAPO JANA

  Kujiweka fiti: Mshambuliaji Mario Balotelli akifanya mazoezi peke yake leo Liverpool wakati wachezaji wenzake wakiwa mapumzikoni baada ya kuchapwa mabao 3-1 jana na Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad
  Eyes on the prize: Balotelli is hoping to make his debut at Tottenham on Sunday
  Balotelli anatumai kucheza mechi ya kwanza dhidi ya Tottenham Jumapili Listen closely: Balotelli (left) heeded the words of the coaching staff as he was put through his paces
  Balotelli akiongozwa na mmoja wa makocha wa Liverpool
  Big reputation: Balotelli joined Liverpool in a £16million deal from AC Milan in August
  Balotelli amejiunga na Liverpool juzi kwa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 16 kutoka AC Milan 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BALOTELLI AJIFUA PEKE YAKE LIVERPOOL WENZAKE WAKIWA WAMELALA BAADA YA KICHAPO JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top