• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 25, 2014

  YATOSHA KUJIRIDHISHA HARUNA NIYONZIMA AMERUDI KWENYE FOMU CHINI YA 'MCHAWI' MAXIMO

  Amerudi; Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akimtoka beki wa Shangani ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Yanga SC ilishinda 2-0. Niyonzima ambaye msimu uliopita alilegalega, jana alionyesha kiwango cha juu mno, kuashiria amerudi kwenye fomu yake chini ya kocha mpya, Mbrazil Marcio Maximo. 
  Haruna Niyonzima kulia katika mchezo wa jana
  Mtu anateswaje? Achana na Niyonzima anapoamua kufanya yake
  Mtu anapohangaishwa; Niyonzima kampa msuli kijana anahangaika kuugusa mpira
  Wengine waliamua kusimama tu; Niyonzima anawakimbiza vijana
  Labda kwa kumshika kwa mikono, kijana anaona amvute jamaa, lakini wapi  
  Haukuwa mkwara; Wakati timu zinaingia tu, Niyonzima aliruka juu namna hii
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YATOSHA KUJIRIDHISHA HARUNA NIYONZIMA AMERUDI KWENYE FOMU CHINI YA 'MCHAWI' MAXIMO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top