• HABARI MPYA

    Thursday, August 21, 2014

    LUIS FIGO ATUA DARA TAYARI KUWASHUGHULISHA AKINA PAWASA JUMAMOSI TAIFA

    Mwanasoka Bora wa zamani wa Dunia, Luis Figo kushoto akiwa Said Tuliy kulia baada ya kuwasili mjini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kukichezea kikosi cha magwiji wa Real Madrid dhidi ya magwiji wa Tanzania  Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tuliy ni mmona wa Waratibu wea ziara ya magwiji hao nchini.
    Nyota mwingine wa zamani wa Real Madrid, Christian Karembeu akiwa na Tuliy baada ya kuwasili nchini
    Karembeu akiwa na Mkurugenzi wa kampuni ya TSN, Farough Baghozah kushoto, ambaye kampuni yake ndiyo inawaleta magwiji wa Real nchini 
    Magwiji wa Tanzania wanaendelea na mazoezi Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo huo, kulia ni Stephen Nyenge, kushoto Boniface Pawasa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LUIS FIGO ATUA DARA TAYARI KUWASHUGHULISHA AKINA PAWASA JUMAMOSI TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top