• HABARI MPYA

  Wednesday, August 27, 2014

  BRUCE ASAINI BEKI LA SPURS KUIMARISHA HULL CITY YAKE

  KLABU ya Hull City imekamilisha usajili wa beki wa kati, Michael Dawson kutoka Tottenham kwa dau ambalo halikutajwa.
  Beki huyo kisiki anakwenda Uwanja wa KC kwa Mkataba wa miaka mitatu baada ya klabu zote kuthibitisha dili hilo kwenye akaunti zao za Twitter.

  Dili limetiki: Dawson akiwa na jezi ya Hull City baada ya kuwa mchezaji wa sita kusajiliwa na klabu hiyo katika jitihada za kocha Steve Bruce kuimarisha kikosi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BRUCE ASAINI BEKI LA SPURS KUIMARISHA HULL CITY YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top