• HABARI MPYA

  Tuesday, August 26, 2014

  TANZANIA YAFUNGWA NA UGANDA MICHUANO YA MAJESHI KIKAPU AFRIKA MASHARIKI

  Mchezaji wa Tanzania, Mwalimu Kijogoo akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Uganda wakati wa mchezo wa mpira wa kikapu, michuano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika Uwanja wa Gymkhana jioni ya leo, Zanzibar. Uganda ilishinda 59-54.
  Wachezaji wakigombea mpira ambao umewaponyoka wote
  Wachezaji wa Uganda na Tanzania wakigombea mpira

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA YAFUNGWA NA UGANDA MICHUANO YA MAJESHI KIKAPU AFRIKA MASHARIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top