• HABARI MPYA

    Saturday, August 23, 2014

    RAIS KIKWETE ALIVYOJUMUIKA NA MAGWIJI WA REAL MADRID NA TANZANIA BAADA YA KUKABIDHI KOMBE TAIFA LEO

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akimkabidhi Kombe Nahodha wa magwiji wa Real Madrid ya Hispania, baada ya kuwafunga magwiji wa Tanzania mabao 3-1 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo.
    Rais Kikwete akumkabidhi mpira Reuben De La Red baada ya kufunga mabao yote ya Real Madrid
    Rais Kikwete akifuatilia mchezo jukwaani
    Nahodha wa Real Madrid akiinua juu Kombe lao leo
    Rais Kikwete katika picha ya pamoja na magwiji wa Tanzania
    Rais Kikwete katika picha ya pamoja na magwiji wa Real Madrid

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAIS KIKWETE ALIVYOJUMUIKA NA MAGWIJI WA REAL MADRID NA TANZANIA BAADA YA KUKABIDHI KOMBE TAIFA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top