• HABARI MPYA

    Thursday, August 21, 2014

    MAGWIJI WA TANZANIA MAZOEZINI LEO TAIFA KUWAKUSANYIA NGUVU REAL MADRID JUMAMOSI DAR

    Viungo wa timu ya soka ya magwiji wa Tanzania, Athumani China kushoto na Yussuf Macho kulia wakigombea mpira jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mchezo dhidi ya magwiji wa Real Madrid ya Hispania Jumamosi Uwanja huo.
    Watu wazima wakipasha leo Taifa. Jumamosi patapendeza Taifa
    Kulia Stephen Nyenge, kushoto Boniface Pawasa 'Djanka'
    Mohamed Mwameja kushoto akifurahia mazoezi
    Kocha Jamhuri Kihwelo 'Julio' kulia akiongoza mazoezi leo, anayepiga mpira ni Shaaban Ramadhani
    Sabri Ramadhani 'China' akimiliki mpira mbele ya Yussuf Macho 'Musso'
    Watu wazima wakionyeshana kazi katikati ya Uwanja
    Wakubwa wameonyesha wako fiti na tayari kuwapa burudani Watanzania Jumamosi

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAGWIJI WA TANZANIA MAZOEZINI LEO TAIFA KUWAKUSANYIA NGUVU REAL MADRID JUMAMOSI DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top