• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 25, 2014

  KENYA YAICHAPA TANZANIA MICHUANO YA MAJESHI AFRIKA MASHARIKI

  Mchezaji wa Kenya, Joseph Owino (katikati) akigombea mpira dhidi ya wachezaji wa Tanzania, katika mchezo wa mpira kikapu michuano ya Majeshi ya Afrika Mashariki uliofanyika Uwanja wa Gymkhana, Zanzibar asubuhi ya leo. Kenya ilishinda 55-46.
  Mike Tanui wa Kenya akumdhibiti mchezaji wa Tanzania, Mohammed Athumani kushoto

  Erick Kahangwa wa Tanzaniua akiwatoka wachezaji wa Kenya

  Mohammed athumani wa Tanzania akipasua katikati ya wachezaji wa Kenya

  Erick Kahangwa wa Tanzania akimiliki mpira mbele ya Bernard  Muyuyo wa Kenya
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KENYA YAICHAPA TANZANIA MICHUANO YA MAJESHI AFRIKA MASHARIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top