Aliyekuwa kipa wa klabu za Simba na Yanga, Yaw Berko akiwa mazoezini na klabu yake ya sasa nyumbani kwao, Ghana, Liberty Proffessionals juzi mjini Accrah. Berko amerejea timu yake hiyo iliyomlea kisoka baada ya kutemwa Simba SC mwishoni mwa msimu uliopita.
0 comments:
Post a Comment