// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC NA ADAMA CITY KATIKA PICHA LEO NYAMIRAMBO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC NA ADAMA CITY KATIKA PICHA LEO NYAMIRAMBO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, August 16, 2014

    AZAM FC NA ADAMA CITY KATIKA PICHA LEO NYAMIRAMBO

    Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimtoka beki wa Adama City ya Ethiopia katika mchezo wa Kundi A, Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame Uwanja wa Nyamirambo, Kigali, Rwanda leo. Azam ilishinda 4-1.
    Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akimtoka beki wa Adama City
    Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Adama City
    Kiungo wa Azam FC, Khamis Mcha 'Vialli' akimtoka beki wa Adama City
    Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akimtoka beki wa Adama City
    John Bocco akitoka beki wa Adama City

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC NA ADAMA CITY KATIKA PICHA LEO NYAMIRAMBO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top