• HABARI MPYA

    Saturday, August 16, 2014

    RAYON SPORT NA ATLABARA KATIKA PICHA KIGALI LEO

    Beki wa Rayon Sport ya Rwanda akiruka juu ya mshambuliaji wa Atlabara ya Sudan Kusini kupiga mpira kichwa wakati wa mchezo wa Kundi A, Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame jioni ya leo Uwanja wa Nyamirambo, Kigali, Rwanda. Rayon ilishinda 1-0.
    Kipa wa Rayon akiwa amedaka moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAYON SPORT NA ATLABARA KATIKA PICHA KIGALI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top