![]() |
| Messi |
Idara ya Takwimu wa Barca kwa pamoja na gazeti la La Vanguardia imepitia kwa makini idadi ya mabao ya Rodriguez miaka ya 1950 na kutoa masahihisho hayo.
Takwimu mpya zinaonyesha aliongezewa mabao matatu katika mabao aliyofunga, ilisema Barca katika taarifa iliyoitoa kwe nye tovuti yake (www.fcbarcelona.com).
Messi, ambaye amefunga mabao 51 kwenye mashindano yote msimu huu, anaweza kuvun ja rekodi hiyo wakati Barca ikiwa mwenyeji wa Granada katika La Liga baadaye leo.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24, huu ni msimu wake wa nane Barca.



.png)
0 comments:
Post a Comment