• HABARI MPYA

  Monday, March 04, 2019

  HIGUAIN NA JORGINHO WAFUNGA CHELSEA YAICHAPA FULHAM 2-1

  Jorginho akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Chelsea dakika ya 31 ikiilaza 2-1 Fulham katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Craven Cottage. Chelsea ambayo jana ilitangulia kwa bao la Gonzalo Higuaín dakika ya 20 kabla ya Calum Chambers kuisawazishia Fulham dakika ya 27, kwa ushindi huo inafikisha pointi 56 baada ya kucheza mechi 28, ikiendelea kushika nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HIGUAIN NA JORGINHO WAFUNGA CHELSEA YAICHAPA FULHAM 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top