• HABARI MPYA

    Wednesday, June 06, 2018

    WANYAMA MAPUMZIKONI HOTEL VERDE BAADA YA MSIMU

    Kiungo wa Tottenham Hotspur, Victor Wanyama akiwa mbele ua Hotel Verde kisiwani Zanzibar ambako amekwenda kwa mapumziko ya baada ya msimu 
     Victor Wanyama ametokea kuipenda Zanzibar na karibu kila wakati wa mapumziko huenda huko 
    Mchezaji huyo wa kimataifa wa Kenya ameweka picha hizi katika akaundi yake ya Instagram 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WANYAMA MAPUMZIKONI HOTEL VERDE BAADA YA MSIMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top