• HABARI MPYA

    Saturday, June 09, 2018

    SALAMU ZENU KUTOKA KWA SERGIO RAMOS KUELEKEA KOMBE LA DUNIA

    Beki wa kimataifa wa Hispania, Sergio Ramos ameposti picha hii katika ukurasa wake wa Instagram kuelekea Fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi, akitoka kuisaidia klabu yake Real Madrid kutwaa taji la mfululizo la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya Liverpool mwezi uliopita, ingawa alimuumiza mshambuliaji tegemeo wa wapinzani wao, Mmisri Mohamed Salah na kujikuta anabeba lawama nyingi 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SALAMU ZENU KUTOKA KWA SERGIO RAMOS KUELEKEA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top