Mshambuliaji wa Ureno, Cristiano Ronaldo akibinuka tik tak katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Algeria usiku wa jana Uwanja wa Luz mjini Lisbon kujiandaa na Kombe la Dunia. Ureno ilishinda 3-0, mabao ya Goncalo Guedes mawili dakika ya 17 na 55 na Bruno Fernandes dakika ya 37 kwa pasi ya Cristiano Ronaldo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
McIlroy urges golf to learn from NI peace process
-
Rory McIlroy calls for the split world of professional golf to find "a
compromise" that brings a sense of unity.
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment