• HABARI MPYA

    Saturday, June 16, 2018

    RONALDO APIGA HAT TRICK URENO IKITOKA 3-3 NA HISPANIA

    Cristiano Ronaldo akishangilia kishujaa baada ya kuifungia mabao yote matatu Ureno dakika za nne kwa penalti, 44 na 88 katika sare ya tatu na Hispania kwenye mchezo wa Kundi B Kombe la Dunia usiku wa Ijumaa Uwanja wa Olimpiki mjini Sochi, Urusi. Mabao ya Hispania yalifungwa na Diego Costa mawili dakika za 24 na 55 na Nacho dakika ya 58 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO APIGA HAT TRICK URENO IKITOKA 3-3 NA HISPANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top