• HABARI MPYA

  Monday, June 11, 2018

  LECHANTRE BADO YUPO BONGO, ANABAKI SIMBA?

  Kocha Mkuu wa Simba SC, Mfaransa Pierre Lechantre akiwa na Msaidizi wake, kocha wa mazoezi ya viungo, Mtunisia Aymen Mohammed Hbibi hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es Salaam leo wakati wa tuzo za Mo Simba. Wawili hao wametofautiana na uongozi na wamesusa kazi tangu wiki iliyopita nchini Kenya kwenye michuano ya SportPesa Super Cup na hadi sasa mustakabali wao haujulikani, ingawa taarifa zinasema wanaondoka  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LECHANTRE BADO YUPO BONGO, ANABAKI SIMBA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top