• HABARI MPYA

  Thursday, June 07, 2018

  HASHEEM THABEET NA RAIS WA TBF WAKIANGALIA VIPAJI JMK

  Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), Phares Magesa (kulia) akiwa na nyota wa mchezo huo, Mtanzania Hasheem Thabeet (katikati) anayechezea klabu ya Yokohama B-Corsairs ya Japan leo wakati wa mazoezi ya timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 18 (U18) viwanja vya JMK Park mjini Dar es Salaam, ambako timu za wanawake na wanaume zinajiandaa kwa michuano ya FIBA Kanda ya Tano inayotarajiwa kuanza Juni 17 hadi 22 Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HASHEEM THABEET NA RAIS WA TBF WAKIANGALIA VIPAJI JMK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top