• HABARI MPYA

    Thursday, October 19, 2017

    MBAPPE, DI MARIA, CAVANI NA NEYMAR WOTE WAFUNGA PSG YASHINDA 4-0 UGENINI

    Angel Di Maria (kushoto), Kylian Mbappe aliyebebwa na Neymar aliyezibwa wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Anderlecht kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Constant Vanden Stock mjini Brussel, Ubelgiji. Mbappe alifunga dakika ya tatu, Neymar 66 na Di Maria 88, wakati bao lingine la PSG lilifungwa na Edinson Cavani dakika ya 44 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBAPPE, DI MARIA, CAVANI NA NEYMAR WOTE WAFUNGA PSG YASHINDA 4-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top