• HABARI MPYA

    Thursday, October 19, 2017

    DZEKO NA KOLAROV WAITIBULIA CHELSEA NYUMBANI, SARE 3-3 NA ROMA

    Kiungo wa Chelsea, Tiemoue Bakayoko akiucheza mpira kwa kichwa mbele ya mguu wa mchezaji wa Roma, Maxime Gonalons katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London timu hizo zikitoka sare ya 3-3. Mabao ya Roma yalifungwa na Edin Dzeko mawili dakika za 64 na 70 na Aleksandar Kolarov dakika ya 40, wakati ya Chelsea yalifungwa na David Luiz dakika ya 11 na Eden Hazard mawili dakika za 37 na 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DZEKO NA KOLAROV WAITIBULIA CHELSEA NYUMBANI, SARE 3-3 NA ROMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top