• HABARI MPYA

  Thursday, April 13, 2023

  TOFAUTI YA CHAMA NA STEPHANE AZIZ KI KUELEKEA JUMAPILI


  KUELEKEA pambano la watani wa jadi Jumapili, kiungo wa Simba SC, Clatous Chama amefunga mabao matatu tu hadi sasa, wakati kiungo wa Yanga Stephane Aziz Ki amefunga mabao manane.
  Lakini Chama ametoa pasi za mabao 14, wakati Aziz Ki ametoa pasi za mabao matatu tu kwa mujibu wa takwimu rasmi za Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TOFAUTI YA CHAMA NA STEPHANE AZIZ KI KUELEKEA JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top