• HABARI MPYA

  Thursday, April 13, 2023

  KIKAO CHA DHARULA SIMBA KUELEKEA MECHI NA YANGA


  MWENYEKITI wa Bodi ya Simba SC, Salum Abdallah Muhene 'Try Again' jana jioni ameongoza Kikao maalum cha Bodi ya Wakurugenzi kuelekea mchezo dhidi ya watani wa jad, Yanga SC Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKAO CHA DHARULA SIMBA KUELEKEA MECHI NA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top