• HABARI MPYA

  Wednesday, December 21, 2022

  NAMUNGO FC YAICHAPA IHEFU SC 2-0 MAJALIWA


  WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa Jumanne Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
  Mabao ya Namungo FC yamefungwa na Seidou Blandja dakika ya 28 na Shiza Kichuya dakika ya 60 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 22 katika mchezo wa 17 na kusogea nafasi ya saba, wakati Ihefu SC inabaki na pointi zake 14 za mechi 17 nafasi ya 14.
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAMUNGO FC YAICHAPA IHEFU SC 2-0 MAJALIWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top