• HABARI MPYA

  Wednesday, December 07, 2022

  GEORGE MPOLE AACHANA RASMI NA GEITA GOLD


  MSHAMBULIAJI George Mpole amelazimika kuilipa Geita Gold fedha ili kuvunja mkataba wake uliobakiza miezi kadhaa hadi mwisho wa msimu ili awe huru.
  Kwa mujibu wa Hemed Kivuyo, Afisa Habari wa timu Geita Gold tayari imetoa barua ya kumruhusu mfungaji huyo bora wa Ligi Kuu msimu uliopita kujiunga na klabu yoyote baada ya makubaliano ya pande zote mbili leo.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GEORGE MPOLE AACHANA RASMI NA GEITA GOLD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top