• HABARI MPYA

  Monday, December 12, 2022

  YANGA YARUDISHWA TUNISIA KOMBE LA SHIRIKISHO


  TIMU ya Yanga imeapangwa Kundi D pamoja na Monastir ya Tunisia, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Real Bamako ya Mali katika Kombe la Shirikisho Afrika.
  Kundi A linaundwa na USMA Alger ya Algeria, Marumo Gallants ya Afrika Kusini, Al Akhder ya Libya na St Eloi Lupopo ya DRC.
  Kundi B linazikutanisha ASEC Mimosa ya Ivory Coast, DC Motema Pembe, Diables Noirs za DRC na Rivers United ya Nigeria.
  Kundi C kuna Pyramids na Future za Misri, ASKO Kara ya Togo na AS FAR Rabat ya Morocco.
  Ikumbukwe Yanga ilifuzu Hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuitoa Club Africain ya Tunisia kwa kuichapa 1-0 pale Tunis kufuatia sare ya 0-0 ya Dar es Salaam.
  Na Hawa Monastir, vigogo wengine wa Tunisia ndio ambao waliwatoa waliokuwa mabingwa watetezi, ya Morocco.
  *CAF Confederation Cup*
  Group D
  1. TP Mazembe 🇨🇩 
  2. US Monastir 🇹🇳
  3. Young Africans 🇹🇿
  4. Real Bamako 🇲🇱

  *MD1: 12.02.23*
  TP Mazembe v Real Bamako
  US Monastir v Young Africans

  *MD2: 19.02.23*
  Young Africans v TP Mazembe
  Real Bamako v US Monastir

  *MD3: 26.02.23*
  TP Mazembe v US Monastir
  Real Bamako v Young Africans

  *MD4: 7-8.03.23*
  US Monastir v TP Mazembe
  Young Africans v Real Bamako

  *MD5: 19.03.23*
  Real Bamako v TP Mazembe
  Young Africans v US Monastir

  *MD6: 02.04.23*
  TP Mazembe v Young Africans
  US Monastir v Real Bamako
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YARUDISHWA TUNISIA KOMBE LA SHIRIKISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top