• HABARI MPYA

  Wednesday, December 14, 2022

  ARGENTINA YATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA


  TIMU ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Croatia jana Uwanja wa Lusail Iconic Stadium Jijini Lusail nchini Qatar.
  Mabao ya Argentina yamefungwa na Nahodha Lionel Messi kwa penalti dakika ya 34 na Julian Álvarez mawili dakika ya 39 na 69 baada ya kazi nzuri ya Nahuel Molina na sasa watasubiri kukutana na mshindi kati ya Mabingwa watetezi, Ufaransa na Morocco zinazomenyana leo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARGENTINA YATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top