• HABARI MPYA

  Tuesday, December 20, 2022

  RUVU SHOOTING NA MTIBWA SUGAR ZATOKA 0-0 UHURU


  TIMU za Mtibwa Sugar na Ruvu Shooting zimegawana pointi baada ya sare ya bila kufungana leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
  Kwa sare hiyo, Ruvu Shooting inafikisha pointi 12 katika mchezo wa 17, ingawa inabaki nafasi ya 15, wakati Mtibwa Sugar inafikisha pointi 24 katika mcchezo wa 17 japokuwa inabaki nafasi ya tano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RUVU SHOOTING NA MTIBWA SUGAR ZATOKA 0-0 UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top