• HABARI MPYA

  Friday, December 30, 2022

  AZAM FC YAWATEMA SALULA NA CHILUNDA


  KLABU ya Azam FC imetangaza kuachana na wachezaji wake wawili, kipa Ahmed Ali Suleiman ‘Salula’ na mshambuliaji Shaaban Iddi Chilunda.
  Hao wanaungana na kiungo Ibrahim Hajib Migomba aliyekuwa wa kwanza kutemwa dirisha hili dogo na tayari amejiunga na Singida Big Stars.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAWATEMA SALULA NA CHILUNDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top