• HABARI MPYA

  Friday, December 02, 2022

  KOCHA NABI AFUNGIWA KWA KUWAFANYIA FUJO MAREFA MBARALI

   


  KOCHA wa Yanga, Nasredine Nabi amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 kwa kosa la kumshambulia kwa maneno refa wakimenyana na Ihefu SC wiki hii huko Mbarali.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA NABI AFUNGIWA KWA KUWAFANYIA FUJO MAREFA MBARALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top