• HABARI MPYA

  Saturday, December 31, 2022

  BODI YAFANYA MAREKEBISHO RATIBA LIGI KUU KUPISHA MAPINDUZI CUP


  BODI ya Ligi imefanya marekebisho maalum ya ratiba ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza mapema mwakani visiwani Zanzibar.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YAFANYA MAREKEBISHO RATIBA LIGI KUU KUPISHA MAPINDUZI CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top