• HABARI MPYA

  Tuesday, December 20, 2022

  HATIMAYE DK MSOLLA AMKABIDHI OFISI INJINIA HERSI YANGA


  HATIMAYE Rais wa Yanga SC, Mhandisi Hersi Ally Said leo amekabidhiwa rasmi ofisi na Uongozi uliopita chini ya Mwenyekiti Dk. Mshindo Msolla baada ya zoezi la ukaguzi wa hesabu za Klabu kukamilika.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HATIMAYE DK MSOLLA AMKABIDHI OFISI INJINIA HERSI YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top