• HABARI MPYA

  Saturday, December 31, 2022

  RONALDO AMFUATA MSUVA SAUDI ARABIA


  MSHAMBULIAJI Mreno, Cristiano Ronaldo amejiunga na Al-Nassr ya Saudi Arabia kama mchezaji huru baada ya kuachana na Manchester United mwezi Novemba.
  Ronaldo ambaye atakuwa analipwa kiasi cha Pauni Milioni 175 kwa mwaka, anakwenda kucheza Ligi moja na nyota Mtanzania, Simon Msuva ambaye anachezea klabu ya Al-Qadsiah.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AMFUATA MSUVA SAUDI ARABIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top