• HABARI MPYA

  Saturday, December 24, 2022

  BUSWITA APIGA BAO PEKEE NAMUNGO YAICHAPA RUVU 1-0

  BAO pekee la kiungo Pius Buswita dakika ya 42 limeipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
  Kwa ushindi huo, Namungo FC inafikisha pointi 25 katika mchezo wa 18 na kusogea nafasi ya tano, wakati Ruvu Shooting inabaki na pointi zake 12 za mechi 18 sasa nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BUSWITA APIGA BAO PEKEE NAMUNGO YAICHAPA RUVU 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top