• HABARI MPYA

  Saturday, December 24, 2022

  SIMBA SC YAMSAJILI NTIBANZOKIZA KUTOKA GEITA GOLD


  KLABU ya Simba imetangaza kumsajili kiungo mkongwe Mrundi, Said Ntibanzokiza kutoka Geita Gold, akiwa mchezaji wake wa kwanza kabisa mpya dirisha hili dogo.

  Ntibanzokiza amecheza Geita Gold kwa nusu msimu baada ya kuondoka kwa mahasimu wa Simba, Yanga SC ambako alidumu kwa misimu miwili.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAMSAJILI NTIBANZOKIZA KUTOKA GEITA GOLD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top