• HABARI MPYA

  Sunday, December 25, 2022

  WAWILI TU WAPITISHWA KUWANIA UENYEKITI SIMBA SC


  WAKILI Moses Stewart Kaluwa amepitishwa kugombea nafasi ya Uenyekiti wa klabu ya Simba dhidi ya Mwenyekiti wa sasa, Mbunge wa zamani wa Kilwa Kaskazini, Ally Murtaza Manungu katika uchaguzi wa mapema mwakani.   • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAWILI TU WAPITISHWA KUWANIA UENYEKITI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top