• HABARI MPYA

  Friday, December 02, 2022

  BEKI SIMBA AFUNGIWA KWA KUMWAGA ‘UPUPU’ SOKOINE  BEKI wa Simba SC, Gardiel Michael Mbaga amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 kwa kuingia kwa nguvu Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya na kumwaga Unga asubuhi kabla ya mechi yao na Mbeya City jioni yake.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BEKI SIMBA AFUNGIWA KWA KUMWAGA ‘UPUPU’ SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top